iqna

IQNA

Jamal Khashoggi
TEHRAN (IQNA)- Kamishna MKuu wa Haki za Binadamu katika Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet ametoa wito wa kufanyika uchunguzi wa kimataifa kubaini mhusika wa mauaji ya mwandishi habari Msaudi Jamal Khashoggi .
Habari ID: 3471762    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/05